Maswali 2 muhimu ya kujiuliza
1. Una nini ( what do you have) swali hilo aliulizwa Musa
2. unaona nini (waha do you see) swali hilo aliulizwa Yeremia
unachoona ndio hatua ya kwanza ya mafanikio yoyote, maana huwezi kufanikiwa nje ya kile unachoona
ulichonacho, ni nyenzo ya kufikia maono, unacho ili kikusukume kukupeleka kwenye maono yako
kutambua ulichonacho nia matokeo ya mahitaji ya maono. maono yakiwa ndani yako hudai, na yanapodai ndipo nyenzo iliyoko ndani yako inapojiibua ili kuyafanya hayo maono yafikiwe
Unaona nini (what do you see)
Una nini ( what do you see)