Ni Siri Kuu - The Great Mystery

Ni Siri Kuu - The Great Mystery
"Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.

Ijumaa, 4 Julai 2014

KARIBU UTUMIKE NASI- KUHANI GOSPEL TEAM (KGT)

Karibu Katika Huduma ya KGT (Kuhani Gospel Team) Tanzania.
Ni timu ya Injili ya Kikuhani, inayojishughulisha na huduma mbalimbali za ufalme wa MUNGU. lengo ni kuwasaidia watu kumtumikia MUNGU kwa kiwango alichowakusudia, pia ni kuwatangazia watu habari za ufalme wa MUNGU, kuwafanya waamini na kuwafundisha ili wajue. chini ya maono hayo kauli mbiu yetu ni "Mjue sana MUNGU ili uwe na amani" na katika huduma tunaamini kuwa kuna "siri kuu"

HUDUMA INA KAMATI TANO
1. KGT Hazina
2. KGT Production
3. KGT Utatu Mtakatifu
a) Injili
b) Maombi na maombezi
c) Ushauri na maelekezi
4. KGT Praise and Worship
5. KGT Habari na Mawasiliano

Chini ya kamati hizi, huduma zote hufanyika na kukamilishwa, kila mtumishi huwa katika kamati flani, kamati zote hufanya kazi kwa ushrika. mawasiliano ni kupitia 0752165609, 0765129960, email gkazili@yahoo.com, ukurasa wa face book- Kuhani Gospel Team

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni


Kunihusu

Picha yangu
"Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, baba , kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako. (Ni Siri Kuu)

Tafuta katika Blogu Hii