Ni Siri Kuu - The Great Mystery
Ni Siri Kuu; Ni huduma inayosimamiwa na Mwl; Goodluck Kazili. Inabeba pia; Kuhani Gospel Team (KGT), Akiba Zalishi (AZ). KGT; Ni timu ya Huduma za Kiroho, Yenye watumishi mbalimbali walioitwa kutumika katika kusudi la Mungu. AZ; Ni mfumo unaowezesha mtu/watu/taasisi/shirika/kampuni kuwa na kukuza mitaji, uzalishaji na uwekezaji. Wasiliana nasi:- Email: gkazili@yahoo.com, Phone: +225 (0) 765 129 960, Fb: Ni Siri kuu.
Jumatano, 30 Oktoba 2019
Mwl.Goodluck Kazili "MWISHO WA KUOMBA NI LINI? " (MORNING GLORY) 06...
"Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, baba , kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako. (Ni Siri Kuu)
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)
Kunihusu
- Ni Siri Kuu - The Great Mystery
- "Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, baba , kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako. (Ni Siri Kuu)